MAFUNZO YA KIDINI
Kitabu hiki ni tarjuma ya kiswahili kutoka kitabu cha MAFUNZO YA KIDINI.Uzuri na Maajabu ya kiroho
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni wasia wa imam Khomeini (R,A) kwa mwanawe Sayyid Ahmad Khomeini (R,A).Mtindo wa Maisha
Sisi tunaamini kwamba, maktaba (mafunzo) yenye uhai ya Uislamu na maarifa ya Kiislamu yanajumuisha na kukidhi mahitaji yote ya mwanadamu mpaka siku ya Kiyama na yametoa na kuweka bayana utamaduni na mtindo wa maisha. Hii leo vyombo mbalimbali vya habari vya Magharibi na satalaiti za maadui vimeanzisha vita laini (soft war) na hujuma kubwa katika […]PAMOJA NA MAASUMU
Kitabu hiki ni tarjuma ya kiswahili kutoka kitabu cha PAMOJA NA MAASUMU visa katika maisha ya maasumuRISALATUL HUQUQ
Wajibu na haki ya awali na ya asili ni haki ya Mwenyenzi Mungu kwako, kwani yeye ndiye aliyekuumba na kuweweka hapo ulipo,haki ya Mwenyezi Mungu ndio haki kuu na haki nyingine ni matawi ya haki hiyo, haki nyingine ni haki yako wewe ambayo inakuhusu wewe na mazingira yako yote kwa ujumla . Mwenyezi Mungu mtukufu, […]Ruwaza Njema
Kitabu hiki ni Utenzi wa maisha ya Mtume Muhammad .UPOTOVU WA MADHEHEBU YA “MAWAHHABI” NA HATARI ZAKE
Hiki ulichonacho mkononi mwako ni UPOTOVU WA MADHEHEBU YA “MAWAHHABI” NA HATARI ZAKE.
more