Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. ANAYENGOJEWA IMAMU MUHAMMAD AL-MAHDI [a]

ANAYENGOJEWA IMAMU MUHAMMAD AL-MAHDI [a]

 • Maulana Sayyid 'Ali Naqi Saheb
 • 9976 956 25 8
 • Chapa ya Nne
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki ni cha mwisho katika mfalulizo wetu huu wa maisha ya
Watakatifu  Kumi na Wanne wa jamii ya Mtukufu Mtume (s.a.w.),
nacho kinahusu maisha ya Imamu wa Kumii na Mbili. Watu ambao
ni  vigumu  sana  kuwaelewa  tuzionapo  habari  zao  na  hata
tunapoonana  nao  jicho  kwa  jicho,  hakika  itakuwa  vigumu  zaidi
kuwaelewa wanapokuwa hatuwaoni.
Kitabu  hiki  hakikukusudiwa  kwa  wale  wasioyaamini  yale
yasiyoonekana  bali  kwa  wale  wanaomwamini  Mwenyezi  Mungu
Asiyeonekana.

 • Maulana Sayyid 'Ali Naqi Saheb
 • 9976 956 25 8
 • Chapa ya Nne
 • Dar es Salaam, Tanzania