Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. BIBI MWENYE NURU (BIBI FATIMATUZ-ZAHRA A.S)

BIBI MWENYE NURU (BIBI FATIMATUZ-ZAHRA A.S)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2004
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kwa binadamu wote wanaume na wanawake Mwenyezi Mungu
amewaamuru watu fulani fulani kuwa vigezo (mifano) kwa wengine
kukhusu vitendo vyao. Uislamu umeweka wanaume kumi na tatu,
lakini umeweka mwanamke mmoja tu kuwa kigezo. Lakini
mwanamke huyo katika ule muda mfupi wa maisha yake,
ameonyesha mfano ulio kama nyota imulikayo kwa muda wote
ujao na alipofariki dunia, aliurithisha mfano huo kwa njia ya dalili
za binti wake kwamba wang’are kwa mwangaza wa tabia ya binti
yake Mtume (s.a.w.w.) mwenyewe.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2004
 • Chapa ya Nne
 • Dar es Salaam Tanzania