Kiislamu vyanzo

  1. home

  2. book

  3. CHEMCHEM YA UHURUIMAMU HUSAIN SAYYID ASH-SHUHADA [A]

CHEMCHEM YA UHURUIMAMU HUSAIN SAYYID ASH-SHUHADA [A]

  • Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb
download

    Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyidul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa huo Kikuu cha Lucknow, Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa Lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e- Husayni H.S. School, Allahabad, Uhindi na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya kiingereza na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy aIiyekuwa Mubalighi Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo. Edita wa “Sauti ya Bilal”.

  • Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb