Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. FADHAAIL ZA SAYYIDNA ALI IBNE ABI TALIB (A.S)

FADHAAIL ZA SAYYIDNA ALI IBNE ABI TALIB (A.S)

 • NAJMUDDEEN SHARIF AL-ASKARI
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Hii ni tafsiri ya kitabu kiitwacho
ملاسلا ہیلع بلاط بیا نب علی یننمولما یرما ماملاا ماقم
kilichoandikwa na Najumuddeen Sharif al-Askari, wa Najaf, Iraq. Katika
kitabu hicho mno hadithi 77 za Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
ambazo zimepangwa katika mada 50 kuhusu fadhila, ustahili na sifa za
Sayyidina Ali bin Abi Talib (a.s.).
Mabwana Ahmad bin Hanbal, Ismail bin Ishaq al-Kadhi, Ahmad bin Ali bin
Shuaib an-Nasai, na Abu Ali an-Nishapuri wanatamka kuwa haukupokewa
utukufu na ubora wa Sahaba yeyote kwa hadithi sahihi na sanadi madhubuti,
kama ulivyopokelewa utukufu na ubora wa Ali bin Abi Talib (a.s.).
Hadithi zote zilizotajwa katika kitabu hiki zimepokewa na Masahaba mashuhuri
kama Bw. Abu Bakr, Bw. Umar bin Khattab, Bw. Uthman bin Affan, na Bw. Jabir
bin Abdullah, Bibi Aisha, na Bw. Abdullah bin Umar.
Mtungaji ameyataja majina ya vitabu pamoja na Juzu na ukurasa
zilimopatikana hadithi hizo.

 • NAJMUDDEEN SHARIF AL-ASKARI
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2007
 • Chapa ya Tatu
 • Dar es Salaam, Tanzania