Kiislamu vyanzo

  1. home

  2. book

  3. HIDAYA YA RAMADHAN

HIDAYA YA RAMADHAN

  • Bilal Muslim Mission of KENYA
download

    Download

4.1 (82.86%) 7 vote[s]
description book specs comment

Kijitabu hiki kinazungumzia kufunga na kufungua katika mwezi
mtukufu wa Ramadhani na vile Muislamu anatakiwa awe katika mwezi
huu. Ewe msomaji, kitabu hiki kilichapishwa kwa mara ya kwanza
tarehe 20 Juni 1981 /17 Shabani 1401 A.H baada ya ndugu yetu Ustadh
Ductoor Abdulkadir Kadir Sudi kukusanya makala haya kutoka kwa
gazeti letu lililokuwa likijulikana kwa Hidaya ya Ramadhani.
Msomaji mtukufu katika cnapa hii ya pili, kuna baadhi ya milango
imepunguzwa na mingine kujalizwa. Yote hayo ni kwa kutaka
kumrahisishia msomaji. Ni matarajio ya yetu kuwa ndugu Waislamu
watafaidika zaidi kwa yaliyomo kitabum, Insha-Allah.

  • Bilal Muslim Mission of KENYA