Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. IMAM AL-MAHDI

IMAM AL-MAHDI

 • Hujjatul Islam wal Muslimeen Sayyid Muhammad Rizvi
 • 2000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Tunamshukuru Allah (s.w.t.) na kwa Baraka za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.)
na Watukufu Ahlul~Bait (a.s.) kwa kutujaalia kuweza kufanikisha juhudi
zetu hizi katika kuchapisha kitabu hiki “Imam Al-Mehdi (a.t.f.).”
Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya moja ya ma’andishi vya
Hujjatul Islam wal Muslimeen Sayyid Muhammad Rizvi, na kimetafsiriwa
kwa lugha ya Kiswahili na Dr. Muhammad Said Kanju, kutoka asili yake
ya lugha ya Kiingereza.
Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa wale wote ambao
wameshiriki kwa njia moja au nyingine katika kukamilisha kitabu hiki na
hivi sasa kipo mikononi mwa wasomaji wetu. Tunamuomba Allah (s.w.t.)
awalipe malipo mema hapa Duniani na baadaye huko, Akhera.

 • Hujjatul Islam wal Muslimeen Sayyid Muhammad Rizvi
 • 2000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • Oktoba, 2003
 • Toleo ya kwanza
 • Dar es Salaam, Tanzania