Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. kitabu cha saumu

kitabu cha saumu

 • Sayyid Muhammad Mahdi al-Musawy
 • 2500
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

BISMILLAAHIR RAHMAANIR-RAHEEM
Kwa jinsi kitabu hiki kina maelezo na mafundisho ya maana juu ya kufunga
na maamrisho yake, hata inambidi kila Mwislamu na asiye Mwislamu kuwa na
kitabu hiki, na kukisoma, na hasa wale wanaotaka kujua Uislam.
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa taufiki ya kukitunga kitabu hiki
ili wapate faida watu, na namwomba Mola kwa utukufu wa Muhammad
na Ahlu Baiti wake (a.s.) na kwa baraka ya siku ya leo tukufu ya kuzaliwa
Imam wetu Ameerul-Mumineen Ali (a.s.) mwezi kumi na tatu ya Rajab
1387 al-Hijra, anikubalie kwa takabali njema na aniwekee akiba yangu siku
ya Qiyama. Na naomba kwa Mola atupe taufiki mimi na Waislamu wote
kuyafuata yaliyomo humu.
Vile vile napenda kumshukuru sana Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi kwa
kuchukua taabu ya kuipanga kwa uzuri milango na maelezo ya kitabu hiki.

 • Sayyid Muhammad Mahdi al-Musawy
 • 2500
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2005
 • Toleo la Tano
 • Dar es Salaam, Tanzania