Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi

Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi

 • Abbas na Shaheen Merali
 • Alitrah Foundation
 • Dar es Salaam, Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho From
Marriage to Parenthood. Sisi tumekiita, Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi.
Kitabu hiki kinazungumzia masuala yote yanayohusu wanandoa: kuanzia kufunga kwao
ndoa – waishi vipi, mpaka watakapopata watoto – wawalee vipi – kwa mujibu wa mafundisho
ya Kiislamu. Kama ambavyo inafahamika kwamba Uislamu ni dini na ni mfumo wa maisha,
basi kwa hakika haukuacha hata kitu kimoja kinachohusu maisha ya mwanadamu, pamoja
na kumhudumia kiroho. Ndoa ni taasisi ambayo iliasisiwa na Allah ‘Azza wa Jallah
Mwenyewe pale alipowaunganisha baba yetu Adam na mama yetu Hawa kuishi pamoja
kama mume na mke.

 • Abbas na Shaheen Merali
 • Alitrah Foundation
 • Dar es Salaam, Tanzania