Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. kutabiriwa mtume wa uislamu ndani ya vitabu vya kihindu, kikristo, kiyahudi na kiparsi

kutabiriwa mtume wa uislamu ndani ya vitabu vya kihindu, kikristo, kiyahudi na kiparsi

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Utabiri huu ulichapishwa mara ya kwanza kama
sehemu ya kitabu Prophethood(Utume), mwaka 1970,
na Bilal Muslim Mission of Tanzania, Dar-es-Salaam.
Tokea wakati huo, kilichapishwa mara nyingi – Dar-es-Salaam na Mombasa.
Kisha taasisi ya “Word Islamic Network” (WIN)
ya Bombay, ilichapisha sehemu hii kama kijitabu
kinacho jitegemea, chini ya anuani, Prophecies About
The Holy Prophet of Islam in Hindu, Christian &
Jewish Scripture”. (Kutabiriwa Mtume wa Uislamu
ndani ya vitabu vya Kihindu, Kikristo na Kiyhahudi).
Sasa Bilal Muslim Mission inapenda kukichapisha
tena, na nimezipitia upya taarifa zote kwa ajili ya
toleo hili, na kuongeza utabiri kutoka katika vitabu vya
Kiparsi – nataraji kitakuwa maarufu kuliko hapo awali.

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • March, 2004
 • Toleo la kwanza
 • Dar es Salaam, Tanzania