Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MAADILI YA TABASAMU (IMAM MUSA AL-KADHIM A.S.)

MAADILI YA TABASAMU (IMAM MUSA AL-KADHIM A.S.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 20000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Ulimwengu unaugua kwa ajili ya mashirika ya vitisho. Ili
kujiambatanisha na misingi ya ukweli na kuzitii kanuni za akili
katika hali zo zote zile ziwazo, huonekana kuwa ni nguvu inayopita
uwezo wa mwanadamu. Kujifunza maisha ya wale viongozi wa
wanaadamu kama walivyowajibikiwa kukabiliana na upinzani
mkali sana wa nguvu ya mabaya, katika njia yao ya kutimiza
jukumu na imani yao, hakika kutakuwa na faida sana kwetu.
Maimamu watokanao na Nyumba ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w.)
walitupa mifano hiyo na maisha ya Imamu Musa Kadhim (a.s.) ni
mfano mmojawapo.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 20000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 1986
 • Toleo la kwanza
 • Dar es Salaam, Tanzania