Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MAANA NA CHANZO CHA USHIA

MAANA NA CHANZO CHA USHIA

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Neno Shia )ةعيش(limetokana na neno la Kiarabu
at-tashayyu )عيشتلا(lenye maana ya kufuata. Kulingana
na al-Qamusna Lisanu ’l-‘Arab, marafiki na wafuasi wa
mtu wanaitwa Shia wake. Kulingana na Taju ’l-‘urus,
kikundi cha watu wanoafikiana juu ya jambo (lolote)
wanaweza kuitwa Shia. Neno hili hutumika sawa sawa
kwa umoja na wingi, vile vile hutumika sawa sawa kwa
wanaume na wanawake.

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 20044
 • Toleo la Nane
 • Dar es Salaam, Tanzania