Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

 • ALLAMAH SAYYID SAEED AKHTAR RIZVI
 • 1000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki ni tafsiri ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho “What a Muslim
should know and believe” kilichoandikwa na Hujjatul Islam, Maulana
Sayyid Saeed Akhtar Rizvi.
Baada ya kukiona kuwa ni kitabu kifaacho kuwazindua wazazi wa Kiislamu
juu ya Uislamu wao na wa vijana wao na hasa waahidiwa tumeona
tukitafsiri kwa lugha ya Kiswahili.
Tunaomba Allah (s.w.t.) atujaalie usikivu wa kutuwezesha kunufaika
kutokana na juhudi za ndugu yetu Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi –
Aamina.

 • ALLAMAH SAYYID SAEED AKHTAR RIZVI
 • 1000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2004
 • Toleo la Saba
 • Dar es Salaam, Tanzania