Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MASHAIRI YA MASAIBU YA KERBALA

MASHAIRI YA MASAIBU YA KERBALA

 • AHLUL BAYT (A.S) ASSEMBLY OF TANZANIA
 • 500
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Ahlul Bayt (A.S.) Assembly ya Tanzania (ABATA), inayo furaha kwa
kutoa Kitabu hiki cha Mashairi kwa watu wazungumzao Kiswahili.
Ilikuwa mapendekezo ya Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi,
Mwenyekiti wa ABATA, kwamba tuchapishe vitabu vya Majlis na
Mashairi (Nauha na Utenzi) juu ya “Masaibu ya Karbala.” Kwa hiyo
mwezi Aprili, 1998 tulichapisha Kitabu cha Majlis kinachoitwa,
“Maombolezo ya Kifo cha Imam Husain (a.s.)” ambacho kimetokea
kupendwa sana Afrika ya Mashariki. Alhamdulillah.
Sayyid Murtaza Rizvi na Sheikh Abdul-Majid Nassor, kwa ushauri
wa Mwenyekiti wa ABATA, wameyakusanya Mashairi haya kutoka
sehemu mbalimbali, wakayapanga na kupata kitabu kiitwacho “Mashairi
ya Masaibu ya Karbala” ambacho unacho mkononi mwako hivi sasa.
Hiki ni Kitabu cha tatu ambacho kimetolewa na Ahlul-Bayt (A.S.)
Assembly ya Tanzania; na tunayo furaha kubwa kutoa kitabu cha
Mashairi va Karbala kwa Kiswahili ambacho ni cha kwanza katika lugha
ya Kiswahili.
Allah Subhanahu wa Ta’ala atoe malipo yake kwa mtunzi, mfasiri na
wale wote ambao wamesaidia katika kuchapisha kwake kwa njia yoyote.

 • AHLUL BAYT (A.S) ASSEMBLY OF TANZANIA
 • 500
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2009
 • Chapa ya Pili
 • Dar es Salaam, Tanzania