Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MFALME WA UVUMILIVU IMAM HASAN AL-MUJTABA (A.S.)

MFALME WA UVUMILIVU IMAM HASAN AL-MUJTABA (A.S.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Maisha ya mwanadamu yamejaa matukio ya kila namna
ya kufurahisha na ya kuchukiza. Na sifa nzuri zaidi kwa
roho ya mtu ni kuhisi kwamba yu alazimika kutimiza
wajibu wake, na kiwango cha juu zaidi kwa heshima
ya mtu ni kutimiza wajibu wake bila ya kujali gharama
ya utimizaji wa wajibu huo. Ili kuijenga fikara hiyo
katika akili zetu, ni lazima kujifunza maisha ya wale watu
waliokuwa na madaraka katika mioyo yao na akili zao
na ambao kila mara walifanya mambo huku wakiwa na
fikara za kutimiza wajibu, ambazo hazikuingiliwa na
maoni yao wala silika zao. Maisha ya familia ya Mtukufu
Mtume (s.a.w.) yalikuwa ni mfano mzuri wa fikara za
kiheshima na mtu kujiona kuwa yuna wajibu fulani.
Tunaona maishani mwao aina mbali mbali za msingi huu
muhimu sana. Kwa vile hali za maisha yao waliyokiishi
hapa duniani zinatofautiana, kutoka mtu hadi mwingine,
hali za maisha yao hutofautiana pia. Maisha ya mjukuu
wa kwanza wa Mtume (s.a.w.), Imamu Hasan (a.s.)
yalikuwa, peke yake, mfano wa uvumilivu, huruma, na
ustahimilivu.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2007
 • Toleo la Tatu
 • Dar es Salaam Tanzania