Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Uislamu haukuwa mkusanyo wa mafundisho ya kanuni
tu. Uliletwa ili uwe kitu cha kutumika kutatulia matatizo
ambayo yanawatokea watu katika maisha yao ya kila siku.
Uislamu hauweki mawazo ya kielimu tu ambayo hayana
kiini cha maisha halisi, bali hutoa mifano bora ya maisha
ya Uchamungu na maisha maizuri.
Ni kweli kwamba maisha ya Mtukufu Mtume (s.a.w.)
hayangeweza kuchukua hali zote zitokanazo na maisha
ya binadamu. Kwa hilo baada ya yeye, walifuata
makhalifa wake kumi na wawili ambao walikuwa mfano
mzuri wa maisha ya Uchamungu, na kwa vile iliwabidi
waishi katika hali za namna mbalimbali, walionyesha
namna ya mtu awezavyo kuishi katika nyakati za amani
au vita. Hapa tunaona kwa kifupi maelezo ya maisha ya
Imamu Hasan Askari, (a.s.) Khalifa wa kumi na moja wa
Mtukufu Mtume (s.a.w.).

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2007
 • Toleo la Tatu
 • Dar es Salaam, Tanzania