Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MUNGU WA UISLAM

MUNGU WA UISLAM

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki Mungu wa Uislamuni tafsiri ya kitabu kiitwacho God
of Islam kilichoandikwa na Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi,
kikiwa ni sehemu ya pili ya Kozi ya I.C.C.
Katika kitabu hiki Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
anauzungumzia hatua kwa hatua, Mzizi wa kwanza wa Uislamu
(Umoja wa Mungu). Anaanza kwa kuzungumzia kihoja sababu
zitufanyazo tuamini kuwepo kwa Mungu, kisha anazipinga hoja
za wanasayansi zipingazo kuwepo kwa Mungu; anatoa hoja za
imani yetu (ya Umoja wa Mungu) na anamalizia kwa “Maana ya
Umoja wa Mungu.”
Bila shaka kitabu hiki kitawasaidia sana ndugu Waislamu na
kitatoa mwanga kwa ndugu zetu wasio waislamu pia, Insha Allah.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie sisi sote elimu ya
kupambanua mema na mabaya na uongo na kweli. Tuwe
wasikivu wa maneno yake, tuzitii amri Zake na Atujaalie mema
hapa duniani na kesho Akhera pia – Amin.
Mallam Dhikiri U.M. Kiondo

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2002
 • Chapa ya Nane
 • DAR ES SALAAM - TANZANIA