Kiislamu vyanzo

  1. home

  2. book

  3. MUONGOZO WA WASOMAO

MUONGOZO WA WASOMAO

  • OmarJumaa mayunga
download

    Download

Rate this post
description book specs comment

Alhamdulillah, Rehma na Amani zimshukie Mtume wetu na
Muombezi wetu Muhammad (s.a.w.) na Aali zake watukufu
waliotakaswa. Ninamshukuru zaidi Mwenyeezi Mungu kwa
kuniwafiqisha kuchapisha kitabu: Muongozo wa Wasomao, kama
alivyoniwafiqisha kabla ya hiki kuchapisha vitabu: Mut’a ndoa sahihi
na Meza ya Uchunguzi na vingine vingi. Alhamdulillah, Muongozo
wa Wasomao, ni kitabu kilichokusanya maudhui nyingi tofauti
kwa muhtasari. Ndani yake tumejaribu kufafanua baadhi ya mambo
yaliyoeleweka kimakosa, kwa kuonyesha ushahidi na rejea zake.
Nataraji hili litakuwa ni kichocheo cha wasomi (masheikh)
kutufunulia yaliyofichikana au kufahamika kimakosa katika tarikh
ili waislamu wapate ufahamu vyema Uislamu wao.
Ee Mola weta! Tuonyeshe Haki tuifahamu kuwa ni haki uturuzuku
kuifuata. Na tuonyeshe batil tuifahamu uwa ni batil uturuzuku
kuiepuka.

  • OmarJumaa mayunga