Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. MWANGA WA ELIMU (IMAMU MUHAMMAD BAQIR A.S.)

MWANGA WA ELIMU (IMAMU MUHAMMAD BAQIR A.S.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul
Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu
cha Lucknow, Uhindi.
Kimetafisirwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza
Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini, H.S., Allahabad, Uhindi, na
kutolewa na Imamia Mission, Lucknow, U.P., Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri
ya Kiingereza na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy
(aliyekuwa Muballighi Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na
kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita
wa “Sauti ya Bilal”.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2007
 • Toleo la Pili
 • Dar es Salaam - Tanzania