Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. ROHO YA MATUMAINI IMAM ALI AL-MURTAZA (A.S.)

ROHO YA MATUMAINI IMAM ALI AL-MURTAZA (A.S.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu
Sayyid al-Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb,
Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim
Riza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S., Allahabad,
Uhindi na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow U.P.,
Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo
tafsiri ya Kiingereza na Bwana J. J. Shou wa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania na kikachekiwa na
kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M.
Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2007
 • Toleo ya Tatu
 • Dar es Salaam - Tanzania