Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. SAYYID WA VIJANA WA PEPONI

SAYYID WA VIJANA WA PEPONI

 • Sayyid Murtaza Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Makala haya yaliyoandikwa na waandishi mbali mbali mashuhuri,
yalikusanywa na kuchapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania
kama “Toleo Maalum la Muharram” la Sauti ya Bilal(Na. 2/3) Machi
– Mei 1999 (Muharram 1420).
Nakala zake zilisambazwa hapa Dar-es-Salaam, Morogoro, Mombasa
na Zanzibar. Lakini matilaba yake ni makubwa na yenye kuendelea.
Sasa Toleo hili linachapishwa tena kama kitabu kwa jina la “Sayyid
wa Vijana wa Peponi”. Mtungaji na Watoaji wanamuomba Mwenyezi
Mungu Subhanahu wa Ta’alakuikubali kazi yao hii ya kiroho na
awape wasomaji wake Tawfeeq ya kupata faida kutokana na kijitabu
hiki.
Kwa hiyo, tunamuomba Subhanahu wa Ta’alaatuhesabu miongoni
mwa wafuasi wema wa Imam Husayn (as.) katika Siku ya Mwisho.

 • Sayyid Murtaza Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 1999
 • Toleo la Pili
 • Dar es Salaam - Tanzania