Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. shahidi wa mash-had (imamu ali al-ridha a.s.)

shahidi wa mash-had (imamu ali al-ridha a.s.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyid al-Ulama
Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow,
Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi,
B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S., Allahabad, Uhindi na kutolewa na
Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza
na na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy (aliyekuwa Mubaligh
Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri
(Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2007
 • Toleo la Pili
 • Dar es Salaam - Tanzania