Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. SHUJAA BAADA YA KARBALA (IMAMU ALI ZAINUL-ABIDINI A.S.)

SHUJAA BAADA YA KARBALA (IMAMU ALI ZAINUL-ABIDINI A.S.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul
Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha
Lucknow, Uhindi.
Kimetafisirwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi,
B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini, H.S., Allahabad, Uhindi, na kutolewa
na Imamia Mission, Lucknow, U.P., Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahiii kutoka hiyo tafsiri ya
Kiingereza na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy (aliyekuwa
Muballighi Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na kusahihishwa na
Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2008
 • Toleo la Tatu
 • Dar es Salaam - Tanzania