Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. SWALI la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzibar na JIBU la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf

SWALI la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzibar na JIBU la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf

 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2007
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Tunayo furaha kuchapisha barua kutoka kwa Mwanachuoni mashuhuri
na maarufu katika Afrika Mashariki Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy,
pia tunachapisha jibu la Imam Muhamed Husain Kashiful Ghita,
mwanachuoni kutoka Iraq anayetambulika kimataifa.
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Sayyid Mohammad Radha, mwanae
Sayyid Muhammad Mehdi Shushhtary mwenye asili ya Zanzibar na ambaye
wakati huu anaishi Iran, kwa kuongezea makala zinazowatambulisha
Sheikh Abdalla Saleh al-Farsy na Imam Muhammad Husain Kashiful
Ghita, ambao wanajulikana vema ulimwenguni kote. Hii ni kwa manufaa
ya kizazi kipya ambao pengine watakuwa hawajui wao.
Pia tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Masheikh Haroun R. Pingili na
Musabah Shaaban, kwa msaada wao wa kupitia kitabu hiki na kutoa
maoni yao ambayo yamewezesha kufanikisha kitabu chote.

 • 1000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2007
 • Toleo la Pili
 • Dar es Salaam - Tanzania