Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. TAQIYAH NI NINI

TAQIYAH NI NINI

 • Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

5 (100%) 1 vote[s]
description book specs comment

Ambaye anamkufuru Allah baada ya imani kwake (ni
muongo) isipokuwa yule ambaye amelazimika ambapo moyo
wake umetulia juu ya imani (hana cha kuhofu). Lakini yule
Allah anayekifungua kifua chake kwa ukafiri, basi juu yao
ghadhabu kutoka kwa Allah na wanayo kwao adhabu kubwa.
Aya hii ya Qur’an inazungumzia kisa cha ‘Ammar bin Yasir
(r.a.) wakati alipolazimika kusema baadhi ya maneno dhidi ya
Uislamu ili kujiokoa kutoka kwa makafiri wa Kikureishi.
Aya hii inaruhusu kwa uwazi kabisa mtu kuficha imani yake
ya kweli anapokuwa katika hatari ya kupoteza maisha yake.
Kanuni hii inaitwa Taqiyah.

 • Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 1998
 • Toleo la Kwanza
 • Dar es Salaam - Tanzania