Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. TUNDA LA KHERI

TUNDA LA KHERI

 • Athman Amran
 • Bilal Muslim Mission of Kenya
 • Mombasa - Kenya
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa Huruma.
Salawat juu ya Mtume, Hazrat Muhammad (SAW) na kizazi chake na
juu ya wafuasi wake waaminifu.
Qur’an pamoja na Hadith zinasisitiza Ilm na Taqwa kuwa sifa asili za
Muislamu. Mtu mwenye elimu lakini akawa si mwenye vitendo, ni
kama mfano wa shamba lililojaa magugu; na mcha Mungu mwenye
kufanya ibada lakini akawa hana elimu, ni kama kipofu atafuate kwa
kupapasapapasa katika giza.
Historia ya Uislamu na ya Waislamu imejaa matendo na matukio
ambayo yanatoa mifano ya mchanganyiko wa furaha kama huu.
Tumefanya uchaguzi wa mifano kama haya kutoka katika asili
zijulikanazo vizuri.
Hizi ndizo asili tulizochukulia mifano iliyomo kitabuni:
“Tuhaful Uqool” kilichoandikwa na Abu Muhammad Al-Harrani;
“Biharul Anwar” kilichoandikwa na Allamah Majisi;
“Al-Amthalun Nabawiyyah” kilichoandikwa na Muhammad
Al-Gharawi na juu ya vyote,
“Dastan—e—Rastan” kiljchoandikwa na mwanachuoni mkubwa wa
wakati huu wetu, As-Shaheed Murtaza Mutahhari.
Kwa wanaofundisha Akhlaqiyyat katika madrassa zetu na pia kwa
wenye kuhutubia na Zakireen ni matumaini yetu kuwa kitabu hiki
kitakua msaada mkubwa kwao.

 • Athman Amran
 • Bilal Muslim Mission of Kenya
 • Mombasa - Kenya