Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. UKWELI KATIKA MINYORORO (IMAMU ALI AN-NAQI A.S.)

UKWELI KATIKA MINYORORO (IMAMU ALI AN-NAQI A.S.)

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyid
al-Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu
cha Lucknow, Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi,
B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S., Allahabad, Uhindi na kutolewa na
Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi.
Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya
Kiingereza na Bwana J. J. Shou wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
Tanzania na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri
(Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.

 • Sayyid Ali Naqi Saheb
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 1990
 • Toleo la Kwanza
 • Dar es Salaam - Tanzania