Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. Ukweli ni Huu

Ukweli ni Huu

 • Dr. Sheikh Ahmad al-Waaili
 • 2000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Tunamshukuru Allah (s.w.t.), na kwa Baraka za Mtukufu Mtume
(s.a.w.w.) na Watukufu wa Ahlul~Bait (a.s.) kwa kutujaalia kuweza
kufanikisha juhudi zetu hizi katika kuchapisha kitabu hiki “Ukweli Ni
Huu”.
Kitabu kilichopo mikononi mwako ni kile ambacho kimeandikwa na
Dr. Sheikh Ahmad al-Waaili na kutarjumiwa na Sheikh Abdulmajid
Nassir na kusahihiswa na Shiekh Musabbah Shabaan Mapinda. Kwa
jitihada zao hizi na nyingine, Mwenyezi Mungu awalipe malipo mema
hapa Duniani na kesha huko Akhera.
Sababu iliyoifanya Bilal Muslim Mission isimamie kazi hii ni kama zile
za mwanzo. Nia na madhumuni ni kutaka wale watu wazungumzao
kiswahili waelewe na kufahamu zaidi itikadi za ki-Shia.
Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa wale wote
ambao kutokana na juhudi zao kitabu hiki kinawafikia wasomaji
wetu mikononi mwao. Vile vile taasisi ya Bilal Muslim Mission
inawashukuru wote wanaoiunga mkono kwa njia moja au nyingine
katika kazi zake za Tabligh. Tunamuomba Allah (s.w.t.) awalipe
malipo mema hapa Duniani na baadaye huko Akhera.

 • Dr. Sheikh Ahmad al-Waaili
 • 2000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • Octoba 2006
 • Chapa ya Kwanza
 • Dar es Salaam,Tanzania