Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)

UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Kwa jina la Allah Mwingi wa Rehema na Mwenye Kurehemu.
Ewe Allah! Mshushie baraka (rehema) Zako
Muhammad na Kizazi chake.
Hiki kijitabu kina baadhi ya Utabiri unaohusu Ghaybah
(kutoonekana) ya Imam al-Mahdi (a.s.). Kinaonyesha kuwa
imani hii ilikuwepomiongoni mwa Mashia na hata baadhi ya
Masunni tangu zama za Amir al-Muminin, ‘Ali (a.s.). Mashairi
kuhusu imani hii yalitungwa na kusomwa mbele ya Imam as-Sadiq (a.s.). Pia huonyesha kwenye baadhi ya maendeleo ya
kihistoria ambayo yanathibitisha tena kuwepo tabiri hizo na
atharizake. Wapokeaji hadithi wakubwa watatu wasio Mashia
waliandika vitabu kuhusu Ghaybahya Imam Mahdi muda
mrefu kabla ya kuzaliwa kwake katika mwaka wa 255 A.H.
Walithibitisha bila shaka(yoyote) ukweli wa Ghaybat na
kudhihiri tena kwa Sahibu ’l-‘Asr — Bwana wa Zama (hizi).
Allah aharakishe kutokeza kwake.

 • Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • Aprili, 2004
 • Toleo la kwanza
 • Dar es Salaam