Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. UTETEZI WA SHERIA ZA KIISLAMU

UTETEZI WA SHERIA ZA KIISLAMU

 • Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
download

  Download

Rate this post
description book specs comment

Tunamshukuru Allãh (s.w.t.), na kwa baraka za Mtukufu Mtume
(s.a.w.w.) na Ahlul~Bayt (a.s.), kwa kutujaalia tuweze kufanikisha juhudi
zetu hizi katika kuchapish kitabu hiki juu ya sheria za ki-Islamu.
Kitabu hiki kilochopo mikononi mwako ni tafsiri ya kitabu cha kiingreza
kiitwacho In Defense of Islamic Lawskilicho andikwa na marehemu
Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi, Muasisi na Mhubiri Mkuu wa
Mission hii. Kitabu hiki kimekua maarufu katika ulimwengu wa
ki-Islamu. Watu wengi kutoka Africa ya Mashriki wametuomba
kukitafasiri katika lugha ya kiswahili.
Tunamshukuru Dr. Mohammad Salehe Kanju kuitafsiri kitabu hiki
katika lugha ya kiswahili.
Kwa manufa ya wasomaji wetu tumeongeza makala juu ya Mahakama
ya Kadhi ambae ilityariswa na Mwandidhi bada ya kitabu asili ya
kiingreza kuchapiswa.
Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa Bwana Mahmood
Khimji ambae kwa juhudi zake kitabu hiki kinawafikia wasomaji wetu
mikononi na Sayyid Murtaza Rizvi kuipanga vizuri katika kompyuta
na wale wote wanaotuunga mkono kwa njia moja au nyingine kwa
kufanikisha kuchapiswa kitabu hiki, Tunamuomba Mwenyezi Mungu
(s.w.t.) awalipe malipo mema hapo Duniani na baaday huko.

 • Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2500
 • Bilal Muslim Mission of Tanzania
 • 2004
 • Toleo la Pili
 • Dar es Salaam - Tanzania