Kiislamu vyanzo

 1. home

 2. book

 3. UTUME

UTUME

 • Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
download

  Download

2 (40%) 1 vote[s]
description book specs comment

Tunamshukuru Allah (s.w.t.) na kwa Baraka za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.)
na Watukufu Ahlul-Bait (a.s.) kwa kutujaalia kuweza kufanikisha juhudi
zetu hizi katika kuchapisha kitabu hiki “Utume”.
Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya moja ya vitabu vya
Al-Marhum Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi (r.a.), na kimetafsiriwa
na Ndugu Salman Al-Afriqi kwa lugha ya Kiswahili kutoka asili yake
ya lugha ya Kiingereza, na Dr Muhammad Kanju ameipitia tarjuma hii
na kuisahihisha. Kitabu hiki kimekua maarufu katika ulimwengu wa
Ki-Islamu na pia kimechapishwa na Taasisi mbali mbali za ulimwengu.
Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa wale wote
ambao kwa juhudi zao kitabu hiki kinawafikia wasomaji wetu mikononi
na wale wote wanaotuunga mkono kwa njia moja au nyingine katika kazi
zetu za Tabligh. Tunamuomba Allah (s.w.t.) awalipe malipo mema hapa
Duniani na baadaye huko, Akhera.

 • Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
 • 2000
 • BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA
 • 2003
 • Toleo la kwanza
 • DAR ES SALAAM - TANZANIA