Kiislamu vyanzo

ALL
E-Books
Articles

date

 1. date
 2. title
 • HUU NI USHIA

  HUU NI USHIA

  Hii ni tafsiri ya kijitabu kiitwacho “Haakadha ash-shi‘ah” kilicho andikwa na Ayatullah al-Imam al-Mujahid al-Mujaddid al-Haj Seyyid Muhammad Mahdi al-Husaini al-Shirazi.

 • FATIMA Al-ZAHRA

  FATIMA Al-ZAHRA

  Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho, Fatimah al-Zahra.Sisi pia tumekiita, Fatima al-Zahra. Kijitabu hiki ambacho kimepambwa kwa jina la Fatima Zahra (a.s), binti wa Mtume Muhammad (s.a.w.), ni kati ya mihadhara ya thamani ya mare-hemu Imam Muhammad al-Husaini al-Shirazi (Mwenyezi Mungu amrehe-mu). Ni kitabu cha aina yake katika lugha ya […]

 • Je, maneno: as-Salaatu Khayrun Mina ‘n-Nawm Ni Katika Maneno ya Adhana?

  Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: “” kilichoandikwa na Sayyid Abdul Rahim al-Musawi Sisi tumekiita: “” Kitabu hiki kinazungumzia kuhusu Asili ya Adhana na jinsi ilivyokuja kwa Mtukufu Mtume. Kuna tofauti za kimapokezi kati ya madhehebu za Kiislamu, hususan Sunni na Shia. Na pia zipo hitilafu miongoni mwa […]

 • “ULUL AMR” NI NANI?

  “ULUL AMR” NI NANI?

  Waislamu wamegawanyika makundi wawili kuhusu maana ya maneno “Ulul-Amr” yaliyotumika katika Aya ya 59 ya Surat An-Nisa. Wako wasemao kuwa maana ya maneno haya ni “Watawala kutoka miongoni mwenu” – yaani watawala wa Kiislamu; na hii ndio tafsiri ifuatwayo na Waislamu walio wengi (Masunni). Wako wengine wasemao kuwa, maana ya maneno hayo ni “Makhalifa (au […]

 • UKWELI ULIOPOTEA 2

  UKWELI ULIOPOTEA 2

  Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli Uliopotea. Kwa vile kitabu hiki ni kikubwa, sisi tumekigawa katika juzuu tano ili kiwe chepesi kusomwa na wasomaji wetu wa Kiswahili. Hiki ulichonacho mkononi mwako ni juzuu ya kwanza. Kitabu hiki ni utafiti […]

 • MAWAHHABI NA WAUAJI WA IMAMU HUSAIN (A.S.)

  MAWAHHABI NA WAUAJI WA IMAMU HUSAIN (A.S.)

  UTANGULIZI Mara kwa mara baadhi ya watu wajinga husema kuwa wauaji wa Imamu Husayn (a.s.) walikuwa ni Mashia. Ingawa uongo huo umekwisha kukomeshwa tangu zamani kwa thibitisho zisizopingika, bado uongo huu ungali ukitembezwa huko na huko, ili kwenda kuitambua hoja hii yenye nguvu, na kuweza kutofautisha baina ya ukweli na uongo, tutatoa hapa hakika tatu […]

 • TARAWEHE

  TARAWEHE

  Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: “Swalatu’l-Tarawehe” Sisi tumekiita: “Tarawehe” Swala ya Tarawehe ni Swala ya sunna inayoswaliwa mwezi wa Ramadhani na wafuasi wa madhehebu ya Sunni. Madhebu ya Shi’a Ithanaasheri (na Baadhi ya Masunni) hawaiswali Swala hii, na wanasema kwamba ni bida’a. Kwa hiyo, kumekuwa na kushutumiana […]

 • MUT’A NDOA YA HALALI

  MUT’A NDOA YA HALALI

  Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Bwana wa viumbe vyote. Na swala na salamu zimshukie Mtume Wake, Muhammad, pamoja na aali zake waliotwahirishwa wakatwahirika, na wote wenye kufuata nyayo zao mpaka Siku ya Mwisho. Hiki ni kitabu juu ya mut’aambayo, kwa ufupi, ni ndoa ambayo kwayo mwanamke, kwa kuridhiana na kukubaliana na mwanamume atakayemuowa, […]

 • SHIA NA HADITH MAJIBU NA MAELEZO

  SHIA NA HADITH MAJIBU NA MAELEZO

  Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, na rehema na amani zimshukie bwana wetu na mwombezi wetu, Muhammad b. Abdillahi, na ali zake wema waliotakaswa wakatakasika, na wote wanaofuata nyayo zao. Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa majibu yetu ya al-Khututul Aridhwakilichoandikwa na marehemu Sheikh M. al-Khatib kwa lugha ya Kiarabu, kiasi cha miaka […]

 • CHEMCHEM YA UHURUIMAMU HUSAIN SAYYID ASH-SHUHADA [A]

  CHEMCHEM YA UHURUIMAMU HUSAIN SAYYID ASH-SHUHADA [A]

  Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyidul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa huo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafsiriwa kwa Lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e- Husayni H.S. School, Allahabad, Uhindi na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka […]

 • UPOTOVU WA MADHEHEBU YA “MAWAHHABI” NA HATARI ZAKE

  UPOTOVU WA MADHEHEBU YA “MAWAHHABI” NA HATARI ZAKE

  Hiki ulichonacho mkononi mwako ni  UPOTOVU WA MADHEHEBU YA “MAWAHHABI” NA HATARI ZAKE.

 • Mfululizo wa Masuala ya Kifikihi ADHANA Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna

  Mfululizo wa Masuala ya Kifikihi ADHANA Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna

  Kitabu ulichonacho mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho ‘Adhana’ cha Sheikh Jafar Subhani Kitabu hiki kinazungumzia juu ya hitilafu zilizotokea juu ya maneno yanayosomwa katika Adhana. baadhi ya wanachuoni wanasema kwamba kuna maneno yaliyoongezwa, na wengine wanasema kuna baadhi ya maneno yaliyoondolewa. Ili kujua ukweli wa asili ya Adhana na maneno yake, […]

 • MWISLAMU KATIKA NJIA PANDA

  MWISLAMU KATIKA NJIA PANDA

  Tunamshukuru Allah (s.w.t.) na kwa Baraka za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) na Watukufu Ahlul-Bait (a.s.) kwa kutujalia kuweza kufanikisha juhudi zetu hizi katika kuchapisha kitabu hiki “Mwislamu katika njia panda”. Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya Makala mbili (zilizo tarjumiwa kutoka kiingereza) kutoka kwenye kitabu “Ghadir” zinawasilishwa hapa kwa faida ya wasomaji wetu wa Kiswahili. […]

 • SHIA NA SAHABA MAJIBU NA MAELEZO

  SHIA NA SAHABA MAJIBU NA MAELEZO

  Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, na rehema na amani zimshukie bwana wetu na mwombezi wetu, Muhammad b. Abdillahi, na ali zake wema waliotakaswa wakatakasika, na wote wanaofuata nyayo zao. Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa majibu yetu ya al-Khututul Aridhwakilichoandikwa na marehemu Sheikh M. al-Khatib kwa lugha ya Kiarabu, kiasi cha […]

 • MUHAMMAD (S.A.W.W) NI NABII WA MWISHO

  MUHAMMAD (S.A.W.W) NI NABII WA MWISHO

  “SAUTI YA BILAL”, ni Gazeti la Kiswahi litolewalo na “Bilal Muslim Mission of Tanzania”, kwa ujumla limetambulikana kama gazeti lipashalo habari zaidi na lenye maelezo mengi zaidi ya dini katika Afrika ya Mashariki nzima. Mnamo mwaka 1968, Misheni hii ilitoa maelezo kuhusu suala la “Khatme-Nubuwwah” (mwishilizo wa Unabii) katika makala tatu zilizotolewa katika matoleo matatu […]

 • MEZA YA UCHUNGUZI

  MEZA YA UCHUNGUZI

  Sheikh Umar Juma Mayunga alikwenda Kenya ambako baada ya mazungumzo ya kidini, alishauriwa na Sheikh Abdallah Nasser (wa Nairobi) na Haji Ali Muhammad Jaffer (wa Mombasa) kuwa atakaporudi Dar es Salaam aonane nami kwa maelezo zaidi. Alikuja kuonana nami, na swali lake la kwanza lilikuwa juu ya Taqiyah. Nilimpa jibu lililomtosheleza kutoka kwenye Qur’ani Tukufu […]

 • KWA NINI MASHIA HUSUJUDU JUU YA UDONGO?

  KWA NINI MASHIA HUSUJUDU JUU YA UDONGO?

  Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa shukrani nyingi kwa kunipa uwezo wa kuendeleza matamanio yangu ya kufasiri na kuandika vitabu vya kidini kwa lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha ndugu zetu wa Kiafrika kupata maarifa zaidi ya dini ya ya Kiislamu kwa kupitia Madhehebu ya Ahlul-Bait wa Mtukufu Mtume (s.a.w.) ijulikanayo kwa Jina la “Shia Ithna-ashari.” Baada ya […]

 • mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

  mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

  Uislamu haukuwa mkusanyo wa mafundisho ya kanuni tu. Uliletwa ili uwe kitu cha kutumika kutatulia matatizo ambayo yanawatokea watu katika maisha yao ya kila siku. Uislamu hauweki mawazo ya kielimu tu ambayo hayana kiini cha maisha halisi, bali hutoa mifano bora ya maisha ya Uchamungu na maisha maizuri. Ni kweli kwamba maisha ya Mtukufu Mtume […]

 • NYAMA YA NGURUWE

  NYAMA YA NGURUWE

  Kijitabu hiki, kilichoandikwa kwa mpango wa mazungumzo kuhusu Nyama ya Nguruwe, kiliandikwa na Sayyid Saeed Akhtar Rizvi. Sayyid Saeed Akhtar Rizvi ni Mwanachuoni na Mtafiti wa Kiislamu. Vile vile ameandika vitabu vingi juu ya Uislamu ambavyo vinatolewa na Jumuiya hii ya “Bilal Muslim Mission of Tanzania.” Katika kijitabu hiki, mwandishi amepinga vikali sana kuhusu kula […]

 • KUFUNGUA SAFARIINII KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNA

  Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: “” Sisi tumekiita: “Kufungua safarini.” Kitabu hiki, “Kufungua safarini” ni matokea ya utafiti wa kielimu uliofanywa na Mwanachuoni wa Kiislamu, Sheikh Jafar Subhany. Sheria ya Kiislamu ni ya kipekee kwa kuwa inahusika na kila jambo huku ikiweka utatuzi wa matatizo yote yanayompata […]

more