Kiislamu vyanzo

 • (VIZITO VIWILI) HADITHI YA THAQALAIN
  Rate this post

  (VIZITO VIWILI) HADITHI YA THAQALAIN

  Kuambatana na Hekima ya Mwenyezi Mungu Baada ya hayo, jua ya kwamba hekima ya Mwen-yezi Mungu inamlazimu yeye kuwaongoza watu katika kuyafikia yaliyo mema na yenye maslahi kwao, humu duniani na huko akhera, ili waweze kuupata ukamilifu unaoambatana na lengo la maumbile yao, ambao ni, kumjua Mwenyezi Mungu na kuupata ukurubifu wake. Uongofu wake unapatikana […]

 • HADITH ZA MTUME s.a.w.w. NA MA-IMAMU a.s.
  3 (60%) 1 vote[s]

  HADITH ZA MTUME s.a.w.w. NA MA-IMAMU a.s.

  Allah swt anatuambia katika Al-Qur’an tukufu: Sura al-Nahl, 16,  Ayah 43  Nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (Ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui. Sura Al-Ambiya, 21, Ayah 7 Na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (ufunuo). Bas waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui. Ayah hii Tukufu […]

 • Hadith Ya Mufazzal
  5 (100%) 1 vote[s]

  Hadith Ya Mufazzal

 • Hadithi Za Mtume (s.a.w.)
  3 (60%) 2 vote[s]

  Hadithi Za Mtume (s.a.w.)

 • SHADA LA MAUA KUTOKA BUSTANI YA AHADITH ZA MTUME s.a.w.w. & AHLUL – BAYT a.s
  4.5 (90.37%) 27 vote[s]

  SHADA LA MAUA KUTOKA BUSTANI YA AHADITH ZA MTUME s.a.w.w. & AHLUL – BAYT a.s