Kiislamu vyanzo

  •  UHARAMISHO WA RIBA KATIKA UISLAMU
    4.3 (86.67%) 3 vote[s]

    UHARAMISHO WA RIBA KATIKA UISLAMU

    Kama inavyoonekana katika picha ya jadala, kuna kifurushi cha fedha zilizo kidogo yaani mkopaji anapokopa hukopa kidogo, na anaporejesha, hurejesha kifurushi kinono, Hii inamaanisha kuwa riba inamnyonya mnyonge na kummaliza na inamnenepesha mtoza riba.