Kiislamu vyanzo

  •  Mtindo wa Maisha
    2.8 (55%) 4 votes

    Mtindo wa Maisha

    Sisi tunaamini kwamba, maktaba (mafunzo) yenye uhai ya Uislamu na maarifa ya Kiislamu yanajumuisha na kukidhi mahitaji yote ya mwanadamu mpaka siku ya Kiyama na yametoa na kuweka bayana utamaduni na mtindo wa maisha. Hii leo vyombo mbalimbali vya habari vya Magharibi na satalaiti za maadui vimeanzisha vita laini (soft war) na hujuma kubwa katika […]

  •  Uzuri na Maajabu ya kiroho
    3 (60%) 1 vote

    Uzuri na Maajabu ya kiroho

    Kitabu kilichoko mikononi mwako ni wasia wa imam Khomeini (R,A) kwa mwanawe Sayyid Ahmad Khomeini (R,A).

  •  Ndoa KatiKa Islam
    Rate this post

    Ndoa KatiKa Islam

    Zipo riwaya nyingi mno ambazo zimenakiliwa kutoka Mtume s.a.w.w. na Maimamu a.s. ambazo zinasema kuwa mwenye kuoa anakuwa amejidhibiti vyema katika Islam na nusu ya sehemu ya imani inambidi afanye jitihada ili aweze kuiimarisha. Mwenye kuoa, rakaambili za mwenye kuoa ni afadhali kuliko rakaa sabini za mtu asiyeoa. Aliyeoa ni mpenzi wa Allah s.w.t. Mtume […]

  •  Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi
    Rate this post

    Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi

    Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho From Marriage to Parenthood. Sisi tumekiita, Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi. Kitabu hiki kinazungumzia masuala yote yanayohusu wanandoa: kuanzia kufunga kwao ndoa – waishi vipi, mpaka watakapopata watoto – wawalee vipi – kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu. Kama ambavyo inafahamika kwamba Uislamu ni […]

  •  BANGI YAUA NA YAIMARISHA UKOLONI
    Rate this post

    BANGI YAUA NA YAIMARISHA UKOLONI

    “Moja… Mbili… Tatu… “Aa! Nzuri kabisa! Tumekuwa malaika, hamhisi hivyo?” “Ndiooo!! Ndiooo!!” “Basi njooni turuke mbinguni.” “Hiyo ni fikra nzuri. Haya na turuke! “Moja… Mbili. .. Tatu…” Vijana watano wanachupa kutoka ghorofa ya kumi na tisa, wanakatika vipandevipande na nyama na mifupa kutawanyika. Mama watano wanaingiwa na majonzi ya vijana wao ambao baada ya kuvuta […]

  • Rate this post

    WAJIBU WA VIJANA

  •  Mwanamke Mshirika  Katika Maisha
    Rate this post

    Mwanamke Mshirika Katika Maisha

  •  NDOA  KATIKA  ISLAM
    Rate this post

    NDOA KATIKA ISLAM

  •  BANGI YAUA NA YAIMARISHA UKOLONI
    Rate this post

    BANGI YAUA NA YAIMARISHA UKOLONI

  •  KUANZIA NDOA HADI KUWAWAZAZI
    Rate this post

    KUANZIA NDOA HADI KUWAWAZAZI

    Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho From Marriage to Parenthood. Sisi tumekiita, Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi. Kitabu hiki kinazungumzia masuala yote yanayohusu wanandoa: kuanzia kufunga kwao ndoa – waishi vipi, mpaka watakapopata watoto – wawalee vipi – kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu. Kama ambavyo inafahamika kwamba Uislamu ni […]

  •  Malezi Ya Watoto katika Uislamu
    Rate this post

    Malezi Ya Watoto katika Uislamu

    Kitabu ulichonacho mikononi mwako asili yake kimeandikwa kwa Kiingereza na jopo la maulamaa wa Misri kwa jina la Child Care in Islam. Sisi tumekiita, Malezi ya Watoto katika Uislamu. Kama inavyofahamika kwamba Uislamu ni dini na ni mfumo wa maisha, basi mafundisho yake hayakuacha kitu kinachohusiana na maisha ya mwanadamu – kuanzia tumboni mwa mama […]

  •  KANUNI ZA NDOA NA MAADILI YA FAMILIA
    Rate this post

    KANUNI ZA NDOA NA MAADILI YA FAMILIA

    Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la “PRINCIPLES OF MARRIAGE & FAMILY ETHICS” kilichoandikwa na Mwanachuoni: Ibrahim Amini. Ni ukweli ulio wazi kwamba katika jamii yetu hatujishughulishi sana na somo hili, kana kwamba Uislamu hausemi chochote kuhusu maudhui hii. Ni jambo la kusikitisha kwamba tunawaozesha watoto wetu bila kuwafundisha […]

  • Rate this post

    MKE ZAIDI YA MMOJA

    HIKMA NA MTIZAMO WA UISLAMU JUU YA KUOA MKE ZAIDI YA MKE MMOJA Kwa hakika tunakubaliana kiakili kwamba kila aliyekitengeneza kitu basi atakuwa na uwezo na maarifa ya kukiendesha na kutoa miongozo yake katika kitu hicho. Sasa kama sisi ni binaadamu tena waislamu lazima tukubali na tuyakinishe kwamba huu ulimwengu umeumbwa, kwa hivyo aliye bora […]