Kiislamu vyanzo

  • 3.6 (71.43%) 14 vote[s]

    Ujumbe wa Hija wa Walii Amri wa Waislamu Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei 1433 Hijria

    Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu Hamdu zote ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu na sala na salamu zimshukie Bwana wa Manabii na Mitume wa Mwenyezi Mungu na Aali zake watukufu na masahaba zake wema. Kuwadia kwa msimu wa Hija kunapaswa kutambuliwa kuwa ni sikukuu kubwa ya Umma wa Kiislamu. Fursa […]