Kiislamu vyanzo

  •  MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI
    Rate this post

    MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

    Kitabu hiki ni tafsiri ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho “What a Muslim should know and believe” kilichoandikwa na Hujjatul Islam, Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi. Baada ya kukiona kuwa ni kitabu kifaacho kuwazindua wazazi wa Kiislamu juu ya Uislamu wao na wa vijana wao na hasa waahidiwa tumeona tukitafsiri kwa lugha ya Kiswahili. Tunaomba Allah […]