Kiislamu vyanzo

  •  HADITHI  YA THAQALAINI KATIKA VITABU VYA AHLI SUNNA
    Rate this post

    HADITHI YA THAQALAINI KATIKA VITABU VYA AHLI SUNNA

    Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjumi ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho, Hadith ath-Thaqalaynkilichoandikwa na Dk. Sayyid Alaauddin al-Sayyid Amir Muhammad al-Qazwini. Sisi tumekiita, Hadithi ya Thaqalain. Kitabu hiki, Hadith ya Thaqalainni hadithi maarufu sana katika ulimwen-gu wa Kiislamu. Hakuna madhehebu ya Kiislamu hata moja ambayo haikutaja hadithi hii, ingawa kuna tofauti kidogo ya mapokezi kati […]