Kiislamu vyanzo

ALL
E-Books
Articles

date

 1. date
 2. title
 • UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)
  Rate this post

  UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)

  Kwa jina la Allah Mwingi wa Rehema na Mwenye Kurehemu. Ewe Allah! Mshushie baraka (rehema) Zako Muhammad na Kizazi chake. Hiki kijitabu kina baadhi ya Utabiri unaohusu Ghaybah (kutoonekana) ya Imam al-Mahdi (a.s.). Kinaonyesha kuwa imani hii ilikuwepomiongoni mwa Mashia na hata baadhi ya Masunni tangu zama za Amir al-Muminin, ‘Ali (a.s.). Mashairi kuhusu imani […]

more