Kiislamu vyanzo

ALL
E-Books
Articles

date

 1. date
 2. title
 • MWANGA WA ELIMU (IMAMU MUHAMMAD BAQIR A.S.)
  Rate this post

  MWANGA WA ELIMU (IMAMU MUHAMMAD BAQIR A.S.)

  Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafisirwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini, H.S., Allahabad, Uhindi, na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow, U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri […]

 • MWENGE WA HAKI
  Rate this post

  MWENGE WA HAKI

  Kitabu hiki ni tafsiri ya mazungumzo kati ya Khalifa mashuhuri wa Kiislamu aitwaye Ma’mun Ar-Rashid na wanachuoni arobaini wa Kiislamu wenye elimu ya juu kabisa wa zama hizo. Jambo walilojadiliana ni ubora wa Sayyidana Ali bin Abi Talib (a.s.) juu ya Masahaba wengine wa Mtume Mtukufu (s.a.w.w.). Mazungumzo hayo yameandikwa na Bw. Abu Umar Ahmad […]

 • MWENGE WA UKWELI (IMAM JAAFAR AS-SADIQ A.S.)
  Rate this post

  MWENGE WA UKWELI (IMAM JAAFAR AS-SADIQ A.S.)

  Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafisirwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini, H.S., Allahabad, Uhindi, na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow, U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahiii kutoka hiyo tafsiri […]

more